Tuesday, 21 March 2017

DANGOTE AONGOZA KWA UTAJIRI AFRICA

Forbes: Mabilionea 25 matajiri zaidi Afrika 2017

Mtu tajiri barani Afrika kuinunua Arsenal
Image captionMtu tajiri barani Afrika kuinunua Arsenal

Mfanyabiashara kutoka Nigeria Aliko Dangote bado ndiye mtu tajiri zaidi barani Afrika kwa mujibu wa orodha ya mabilionea mwaka 2017 iliyoandaliwa na jarida la Forbes.
Utajiri wa Dangote unakadiriwa kuwa jumla ya $12.2 bilioni.
Kuna mabilionea (wa Dola) 25 mwaka huu barani Afrika, mmoja juu ya 24 waliokuwepo mwaka jana.
Wafanyabiasha kutoka Nigeria Femi Otedola na Abdulsamad Rabiu hawakufanikiwa kuingia kwenye orodha hiyo mwaka huu.
Mtanzania Mohammed Dewji bado ndiye bilionea wa umri mdogo zaidi Afrika, utajiri wake ukikadiriwa kuwa $1.09 bilioni.
Isabel dos Santos kutoka Angola na mfanyabiashara wa mafuta Folorunsho Alakija kutoka Nigeria ndiye mabilionea wanawake pekee katika orodha hiyo mwaka huu.
Bw Dangote Dangote, ndiye mwanzilishi na mwenyekiti wa kampuni ya Dangote Cement inayoongoza kwa kuzalisha saruji Afrika. Anamiliki asilimia 90 ya hisa za kampuni hiyo.
Dangote Cement huzalisha tani 44 milioni za saruji kila mwaka na imepanga kuongeza uzalishaji kwa asilimia 33 kufikia 2020.
Dangote pia anamiliki hisa katika kampuni za chumvi, sukari na unga.
Mohammed Dewji ni afisa mkuu mtendaji wa kampuni ya METL iliyoanzishwa na babake miaka ya 1970. Kampuni hiyo huhusika katika biashara ya nguo, unga, vinywaji na mafuta. Kampuni hiyo huendesha shughuli zake katika zaidi ya mataifa sita barani Afrika.

Mabilionea 25 wa Afrika mwaka 2017:

1. Aliko Dangote, Nigeria Utajiri: $12.2 bilioni2. Nicky Oppenheimer, Afrika Kusini Utajiri: $7 bilioni3. Mike Adenuga, NigeriaUtajiri: $6.1 bilioni 4. Johann Rupert, Afrika KusiniUtajiri: $6.3 bilioni 5. Nassef Sawiris, Misri Utajiri: $6.2 bilioni 6. Christoffel Wiese, Afrika Kusini Utajiri: $5.9 bilioni 7. Nathan Kirsch, Swaziland Utajiri: $3.9 bilioni 8. Naguib Sawiris, Misri  Utajiri: $3.8 bilioni  9. Isabel dos Santos, AngolaUtajiri: $3.1 bilioni 10. Issad Rebrab, Algeria Utajiri: $3 bilioni11. Mohamed Mansour, Misri  Utajiri: $2.7 bilioni12. Koos Bekker, Afrika Kusini Utajiri: $2.1 bilioni13. Allan Gray, Afrika Kusini  Utajiri: $1.99 bilioni14. Othman Benjelloun, MoroccUtajiri: $1.9 bilioni15. Mohamed Al Fayed, Misri Utajiri: $1.82 bilioni16. Patrice Motsepe, Afrika Kusini  Utajiri: $1.81 bilioni17. Yasseen Mansour, Misri Utajiri: $1.76 bilioni18. Folorunsho Alakija, Nigeria Utajiri: $1.61 bilioni 19. Aziz Akhannouch, MoroccUtajiri: $1.58 bilioni 20. Mohammed Dewji, Tanzania Utajiri: $1.4 bilioni21. Stephen Saad, Afrika Kusini Utajiri: $1.21 bilioni22. Youssef Mansour, Misri Utajiri: $1.15 bilioni23. Onsi Sawiris, Misri Utajiri: $1.14 bilioni24. Anas Sefrioui, Misri Utajiri: $1.06 bilioni 25. Jannie Mouton, Afrika KusiniUtajiri: $1 bilioni

RUGE MTABAHA AMALIZA KAZI KUHUSU KUVAMIWA OFISI ZA CLOUDS

JE ULIIKOSA HII VIDEO ICHEKI KILICHOTOKEA

Friday, 10 March 2017

Justin Bieber bandia ashtakiwa kwa makosa 900

Justin Bieber akitumbuiza katika tamasha 2016

Haki miliki 

.Mwanamume mmoja nchini Australia aliyejisingizia kuwa mwimbaji Justin Bieber na kutafuta picha za watoto za aibu ameshtakiwa kwa makosa 900 ya kuwadhalalisha watoto
Inadaiwa kuwa mtu huyo mwenye umri wa miaka 42 alitumia mitandao ya kijamii kuwasiliana na watoto hao.
Awali alikuwa ameshtakiwa kwa kuwa na vifaa vya kuwadhalalisha watoto na uchunguzi zaidi ulisababisha mtu huyo kushtakiwa kwa makosa na ubakaji na kuwatumia watoto vibaya.
Polisi walisema kwa kuwa watoto wengi waliamini kwamba walikuwa wakiongea na Bieber, wazazi wanapaswa kutafuta njia bora zaidi za kuwaelimisha watoto jinsi ya kuwasiliana kupitia mitandao ya kijamii.