BREAKING NEWS!!!!!!!!!!! TRUMP WA ST FRANCIS UNIVERSITY ATANGAZA TENA NIA YA KUGOMBEA URAISI 2016/2017.
Huyu ni kijana aliyewania Urais katika kipindi cha muhula uliopita na hakufanikiwa kupita katika kinyanng'anyiro hicho cha uraisi. Kwa sasa kaja kivingine akiwa ni mgombea pekee anayejulika na kukubalika na wanafunzi wengi sana hapa chuoni kwa umahili wake katika siasa za hapa chuoni lakini hata hivo watu wameenda mbali zaidi na kumfananisha na Raisi mteule mpya wa Marekani sir Donald Trump. Wachambuzi wa kisiasa wanaojulikana ndani na nje ya chuo wanaona kuwa kutokana na uamuzi wa TRUMP WA SFUCHAS kutangaza nia ya kugombea uraisi kutaufanya uchaguzi huo kuwa mwepesi zaidi kuliko chaguzi zilizopita miaka ya nyuma. Mwandishi wetu alikutana na baadhi ya wanafunzi wachache na wengi wao wanamkubali na wanadai trump atapata ushindi wa kishindo rai yao kubwa ilikuwa kumtakia kila raheli katika uchaguzi unaofanyika wiki ijayo.
No comments:
Post a Comment