Saturday, 20 May 2017

BASKETBALL GAME YA KUKATA NA SHOKA ,MADAKTARI SFUCHAS VS MOROGORO WORRIORS 21/MAY/2017 JUMAPILI




Kutakuwepo na mchezo wa basketball kati ya SFUCHAS na MOROGORO WORRIORS katika viwanja vya jkt hapa morogoro mjini mchezo utakaofanyika kesho jumapili kuanzia mida ya saa kumi jion.Mchezo huo utakuwa na ushindani mkubwa haijapata kutokea kutokana na umahiri wa timu hizi mbili.SFUCHAS  watakuwa wageni Katika huo mchezo wakiongozwa na captain wao GIDEON akisaidiwa na ndugu MAZIKU .Sambamba na hilo mnaombwa wanafunzi wate kwa umoja wenu kuhudhuria mpambano huo wa kukata na shoka bila kukosa mkiwa kauli mbiu ya SFUCHAS USHINDI LAZIMA.
Ni baadhi ya picha za kikosi cha timu ya Sfuchas .




No comments: