Lissu aibuka kidedea tena mahakamani
Tundu Lissu, Mbunge wa Singida Mashariki
By James Magai na Tausi Ally Mwananchipapers@mwananchi.co.tz
IN SUMMARY
Lissu, ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chadema alipandishwa kizimbani Agosti 5, na kusomewa mashtaka matatu, mawili kati yake yakiwa ni ya uchochezi na moja la kuidharau mahakama
Dar es Salaam. Serikali imepigwa mweleka katika kesi ya uchochezi dhidi ya mshtakiwa Tundu Lissu baada ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutupa pingamizi la Wakili wa Serikali kutaka wakili Peter Kibatala kujitoa kumtetea mwanasiasa huyo.
Lissu, ambaye ni Mbunge wa Singida Mashariki kwa tiketi ya Chadema alipandishwa kizimbani Agosti 5, na kusomewa mashtaka matatu, mawili kati yake yakiwa ni ya uchochezi na moja la kuidharau mahakama
No comments:
Post a Comment